Dogo Rama kushoto akiimba katika onyesho la bendi yake, African Stars 'Twanga Pepeta' jioni ya leo kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam |
Kalala Jr. kulia akiimba kwa hisia |
Saleh Kupaza kulia na Luiza Mbutu kushoto |
Dogo Rama kushoto |
Mwinjuma Muumin kushoto na Badi Bakule kulia |
Mtu mzima Kizaizai kushoto akiwa Msaifri Diouf katika gari lake la hatari |
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakifanya mambo ya hatari |
Wanenguaji wa Twanga Pepeta |
Wadau wakifuatilia burudani |
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Janeth Isinike akiwa amepozi kabla ya kupanda jukwaani |