Mashabiki wakipeana vijembe |
Mashabiki wakifuatilia kwa makini |
Mashabiki wakizozana |
Kulia ni Juma Pinto na kushoto Mohamed Bawaziri wakifuatilia mechi |
Kulia ni Salim na kushoto Hussein Songambele wakifuatilia mechi |
Mashabiki wakitambiana |
Wahariri Watendaji, Bakari Machumu wa Mwananchi kulia na Frank Sanga wa Mwanaspoti wakifuatilia mechi kwa makini |
Mashabiki wakileteana kidogo |
Shabiki akifuatilia nmechi kinyonge |
Bawaziri akifuatilia mechi kinyonge |
JP akifuatilia mechi |
Shabiki akifuatilia mechi |