KIPA wa Sheffield Wednesday, Chris Kirkland jana usiku alikiona cha moto baada ya kuvamiwa na shabiki wa Leeds kutandikwa mangumi wakati wa mechi ya wapinzani wa jadi wa Yorkshire, huko Hillsborough iliyoisha kwa sare ya 1-1.
Mashabiki hao walikerwa na kitendo cha kipa huyo kujiangusha kupoteza muda akidai ameumia na kulalamika anapoteza muda. Walianza kumzomea kabla ya mmojawao kumshukia kutoka jukwaani na kwenda kumchapa mangumi.
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk

Scroll down for video
Shabiki akimtandika ngumi kipa wa Sheffield Wednesday, Chris Kirkland
Tazama video ya tukio
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk