Wayne Rooney amefunga mabao mawili na kuanza mapema kusherehekea miaka yake 27 ya kuzaliwa wakati Manchester United' ikiifunga 4-2 Stoke, hivyo kutimiza mabao 200 katika klabu hiyo. Mabao mengine yalifungwa na Danny Welbeck na Robin van Persie.
TAKWIMU ZA MECHI
Man United: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia (Nani 74), Scholes (Anderson 70), Carrick, Welbeck (Hernandez 78), Van Persie, Rooney
MABAO: Rooney dk27, dk65, Van Persie dk44, Welbeck dk46
NJANO: Scholes
BENCHI: Lindegaard, Giggs, Powell, Wootton
Stoke: Begovic, Cameron, Huth, Shawcross, Wilson, Nzonzi, Whitehead (Palacios 86), Walters (Etherington 70), Adam, Kightly (Owen 74), Crouch
MABAO: Rooney (kujifunga) dk 11, Kightly dk58
NJANO: Kightly
BENCHI: Sorensen, Jones, Upson, Wilkinson
REFA: Anthony Taylor (Cheshire)
Wayne Rooney (Na 10) akifunga kwa kichwa
Wayne Rooney baada ya kufunga
Robin van Persie akishuhudia mpira unavyotinga nyavuni baada ya jitihada zake
Kipa wa Stoke, Asmir Begovic akimvaa Robin van Persie
Wayne Rooney alifanya kosa lililolipa Stoke bao la kuongoza
Danny Welbeck akishughulika
Washambuliaji wa United, Wayne Rooney (kushoto), Robin van Persie na Danny Welbeck (kulia) wote walifunga
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk