Kulia Prince Muumin Mwinjuma akiimba na Luiza Mbutu kushoto |
Dogo Rama kulia akifanya vitu vyake na mwanamuziki mwenzake |
Mashabiki wakicheza sebene la Twanga |
Sijui walikuwa wanafanya nini wanenguaji hawa wa Twanga kwenye eneo la kuegeshea magari |
Msemaji wa Twanga Pepeta, Muddy Pizzaro akimiminiwa shampeni na Queen Suzy wa FM Academia ambaye alikuwa mmoja wa waalikwa |
Mastaa wa Bongo Movie JB, Ray na Hartman walikuwepo |
Wanamuziki wa Twanga Pepeta wakiwa na rafiki yao |
Nyoshi El Saadat akiimba kwenye jukwaa la Twanga jana kama mmoja wa waalikwa |
Swaga za Sharapova, mnenguaji wa Twanga Pepeta |
Queen Suzzy katikati anafungua shampeni, kuliwa Baraka Msilwa na kushoto Muddy Pizzaro |
Jembe likifuatilia kwa makini shoo |
Kulia Kalala Junior, anayemfuatia Steve Nyerere na wa mwisho ni Deo Mutta 'Mwana Twanga' |
Wanenguaji wa kiume wa Twanga Pepeta |
Baraka Msilwa baada ya kunikabidhi tuzo ya kuheshimu mchango wangu katika mafanikio ya bendi yao |
Nikisoma cheti kwa chati pembeni ya Baraka Msilwa, kaka wa siku nyingi Dar es Salaam |
Wanenguaji wa Twanga Pepeta |
Mnenguaji wa Twanga Pepeta akifanya mambo |
Menguaji wa Twanga Pepeta akionyesha umahiri wake |
Mnenguaji wa Twanga 'akiua' |
Wanenguaji wa Twanga Pepeta, wakicheza rap moja ya zamani ya bendi hiyo, I Love You Baby |
Wakicheza I Love You Baby... |
Wanenguaji wa Twanga Pepeta |
Waimbaji kutoka kushoto Muumini, Janet Isinike... |
Waimbaji |