BILIONEA Mrusi anayemmiliki Naomi Campbell amedhihirisha mapenzi yake mazito kwa mwanamitindo huyo kwa kumjenga nyumba mpya kaloi mjini Moscow, Urusi.
Na si nyuma tu mradi nyumba, ni nyumba ambayo inaonekana kama Meli. Hebu tazama picha za mjengo wenyewe.
Mjengo mpya wa Naomi Campbell Jijini Moscow, aliojengewa na bwana ake Mrusi, Vladislav Doronin unavyoonekana
Cheki kitu hicho
Kwa ndani
Upande wa pili kwa nje unavyoonekana
Nyumba hiyo ina gym, pool na spa
Cheki kitu hicho
Mambo ya fedha
Fedha ni noma
Ntumba ya familia
Kwa mbali kitu kinavyoonekana
Akiwa staili ya Bond: Skyfall akiwa na mpenzi wake Naomi Jijini London wiki hii
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk