// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN UNITED WAIFUNGA CHELSEA KWA KUBEBWA KINOMA NA REFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN UNITED WAIFUNGA CHELSEA KWA KUBEBWA KINOMA NA REFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 28, 2012

    MAN UNITED WAIFUNGA CHELSEA KWA KUBEBWA KINOMA NA REFA


    ILIBIDI makocha Roberto Di Matteo na Sir Alex Ferguson watenganishwe wakati Manchester United iliposhinda kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 10 katika Ligi Kuu ya England dhidi ya Chelsea katika mechi iliyotawaliwa na utata.
    The Blues walimaliza mechi wakiwa na wachezaji tisa na wakifungwa kwa bao la ushindi la kuotea kwenye Uwanja wa Stamford Bridge na kufanya sasa waongoze ligi wakiizidi pointi moja tu Man United. 

    TAKWIMU ZA MECHI

    Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Cahill, Cole, Mikel, Ramires, Hazard (Sturridge 82), Oscar(Azpilicueta 66), Mata (Bertrand 72), Torres.
    BENCHI: Turnbull, Romeu, Moses, Marin.
    KADI: NJANO Torres, Mikel. NYEKUNDU: Ivanovic, Torres.
    WAFUNGAJI WA MABAO YAO: Mata 44, Ramires 53.

    Man Utd: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia, Carrick, Cleverley(Hernandez 65), Young, Rooney (Giggs 74), van Persie.
    BENCHI: Lindegaard, Anderson, Nani, Welbeck, Scholes.
    NJANO: Rooney.
    WAFUNGAJI WA MABAO YAO: Luiz (OG) 4, Van Persie 12, Hernandez 75.
    MASHABIKI WALIOHUDHURIA: 41,644
    REFA: Mark Clattenburg (Tyne & Wear)

    Celebrate good times: Hernandez wheels away in delight after scoring the winner
    Hernandez akishangilia bao la ushindi la kuotea aliloifungia Man United
    Job done: The home facts react angrily to Hernandez's strike in the 75th minute
    Hernandez akishangilia bao lake alilofunga dakika ya 75
    Going through: Torres skips pass the challenge of Jonny Evans...
    Torres akichukua pasi mbele ya Jonny Evans...
    ... before going down...
    ... Anaenda chini Torres
    ... and a second yellow card followed by a red from referee Mark Clattenburg
    ... Anapigwa njano ya pili na kuwa nyekundu, akidaiwa kujiangusha na refa Mark Clattenburg
    Spat: Ferguson and Di Matteo clash on the touchline with 70 minutes gone at Stamford Bridge
    Spat: Ferguson na Di Matteo wakigombana karibu na mstari wa Uwanja dakika 70 Stamford Bridge
    Dutch of class: Van Persie is mobbed after scoring Manchester United's second of the game
    Van Persie akipongezwa baada ya kuifungia Manchester United bao la pili
    On target: Chelsea star Mata scores from a free-kick shortly before the interval
    Nyota wa Chelsea, Mata akifunga kwa mpira wa adhabu
    On target: Chelsea star Mata scores from a free-kick shortly before the interval
    Head boy: Ramires draws his side level after 53 minutes
    Ramires akiisawazishia kwa kichwa Chelsea dakika ya 53 
    Going down: Ivanovic was given his marching orders after hauling down Ashley Young
     Ivanovic was alipewa kadi nyekundu baada ya kumuangusha Ashley Young
    Going down: Ivanovic was given his marching orders after hauling down Ashley Young
    Ivanovic akionyeshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Ashley Young
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAN UNITED WAIFUNGA CHELSEA KWA KUBEBWA KINOMA NA REFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top