UEFA Champions League | RESULTS
|
| ||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
| ||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
| ||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
| ||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Hernandez aliifungia mawili Man United dhidi ya Braga
Bao la ushindi: Hernandez akifunga bao lake la pili jana ambalo lilikuwa la ushindi
Hernandez'akifunga bao lake la kwanza kwa kichwa
Anashangilia na wenzake
Beki Evans wa Man United akishangilia baada ya kufunga
Alba (katikati) akipongezwa na David Villa (kulia) na Cristian Tello (katikati kushoto) baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dhidi ya Celtic
Andres Iniesta akishangilia bao la kusawazisha aliloifungia Barcelona
Lionel Messi akimtoka Charlie Mulgrew
Alexis Sanchez (kulia) akipelekwa chini na kwanja la beki wa Celtic
Messi alitoka mtupu jana