KOCHA Paolo Di Canio amesema kwamba Swindon kuifunga Aston Villa katika michuano ya Kombe la Capital One itakuwa tamu kuliko kulala kitandani na Madonna.
Di Canio anaikaribisha Villa kwenye Uwanja wa County Ground leo usiku na kocha huyo wa Robins amepania kuwafunga wapinzani wake hao wanaocheza Ligi Kuu England.
Mtaliano huyo anakumbukwa mno kwa kuifungia bao la ushindi West Ham dhidi ya Manchester United katika Kombe la FA mwaka 2001.
Madonna
Paolo Di Canio
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2225137/Sex-Madonna-good-beating-Aston-Villa-says-Paolo-Di-Canio.html#ixzz2Anwgd7Sk
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook