// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BOBAN, NYOSSO WAIBUKIA KWENYE NDONDI MASHALI AKIMTWANGA MGANDA MANZESE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BOBAN, NYOSSO WAIBUKIA KWENYE NDONDI MASHALI AKIMTWANGA MGANDA MANZESE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Monday, October 15, 2012

        BOBAN, NYOSSO WAIBUKIA KWENYE NDONDI MASHALI AKIMTWANGA MGANDA MANZESE

        Wachezaji wa Simba, Juma Nyosso kulia akiwa  na kushoto Haruna Moshi, beki wa Yanga Godfrey Taita bwakiwa na Profesa Jay, wakimuombea dua bondia Thomas Mashali kabla ya pambano lake jana.
        Bondia Thomas Mashali akiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Tanzania pamoja na wa Afrika Mashariki na Kati alioupata jana
        Rais wa TPBO, Yasini Abdallah 'Ustadh' akisalimiana na Profesa Jay kwenye kona ya Mashali
        Boban, Nyosso, Taita, Profesa wakiwa kwenye kona ya Mashali wakati wa kupigwa wimbo wa taifa 
        Baadhi ya Viongozi pamoja na mgeni rasmi wakisimama kwa ajili ya wimbo wa tafa kabla ya mpambano
        BONDIA THOMAS MASHALI kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na  MEDY SEBYALA wa Uganda wakati wa mpambano wao uliofanyika kwa ajili ya kumbukumbu ya baba wa taifa Mashali alishinda kwa pointi.
        Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa pointi
        BONDIA THOMAS MASHALI kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na  MEDY SEBYALA wa Uganda 
        Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa pointi
        KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyela kushoto akiwa amekinga ngumi huku akiwa na furahaa baada ya bondia Thomas Mashali kuibuka na ubigwa kwa kumpiga bondia kutoka Uganda wakati wa maazimisho ya kumbukumbu ya baba wa taifa 
        Bondia Thomasi Mashali akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa Afrika Mashaliki katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali
        Mbunge wa Kinondoni, Iddi Azzan akiwa katika picha na Bondia Thomas Mashali baada ya kuvishwa ubingwa wa Afrika Mashariki 
        Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa pointi. Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: BOBAN, NYOSSO WAIBUKIA KWENYE NDONDI MASHALI AKIMTWANGA MGANDA MANZESE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry