// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BABY BOY WA ZIZZOU AIPUA NGOMA MPYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BABY BOY WA ZIZZOU AIPUA NGOMA MPYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, October 26, 2012

    BABY BOY WA ZIZZOU AIPUA NGOMA MPYA

    Msanii Edson Wilson, aka Baby Boy, (pichani) ambaye yupo chini ya lebo ya Zizzou Entertainment, ametoa wimbo mpya uitwao Hey ambao tayari umekwishafanyiwa video na kampuni ya Inzy Entertainment, ambayo amesema hiyo ni zawadi kwa mashabiki wake baada ya kimya cha muda mrefu na amewaambia wakae mkao wa kula kwa vigongo zaidi.  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BABY BOY WA ZIZZOU AIPUA NGOMA MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top