Bao pekee la Mikel Arteta dakika za lala salama, limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya QPR jioni hii kwenye Uwanja wa Emirates katika mchezo wa Ligi Kuu England, ambao ilishuhudiwa kiungo Jack Wilshere akirejea kwenye kikosi cha The Gunners baada ya zaidi ya mwaka wa kuwa nje kwa majeruhi.
Mikel Arteta akishangilia
Arteta anafunga
Jack Wilshere amerudi
Bacary Sagna amecheza mechi ya kwanza msimu huu
Aaron Ramsey anapasua kijiji
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk/sport/