// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARSENAL YAPIGWA VIWILI NYUMBANI LIGI YA MABINGWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARSENAL YAPIGWA VIWILI NYUMBANI LIGI YA MABINGWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 25, 2012

    ARSENAL YAPIGWA VIWILI NYUMBANI LIGI YA MABINGWA


    Arsene Wenger amekula kichapo cha mabao 2-0 na timu yake ya Arsenal mbele ya Schalke ya Ujerumani kwenye Uwanja wa nyumbani, Emirates.

    TAKWIMU ZA MECHI

    KIKOSI CHA ARSENAL: Mannone, Jenkinson (Gnabry 82), Mertesacker, Vermaelen, Andre Santos, Ramsey, Coquelin, Arteta, Podolski (Arshavin 82), Cazorla, Gervinho (Giroud 75).
    BENCHI: Shea, Koscielny, Djourou, Chamakh.
    NJANO: Vermaelen, Arteta, Ramsey, Gervinho.

    KIKOSI CHA SCHALKE 04: Unnerstall, Uchida, Howedes, Matip, Fuchs, Hoger (Jones 46), Neustadter, Holtby (Barnetta 65), Afellay, Farfan, Huntelaar (Marica 87).
    BENCHI: Hildebrand, Moritz, Draxler, Kolasinac.
    NJANO: Afellay, Hoger.
    WAFUNGAJI WA MABAO YAKE: Huntelaar 76, Afellay 86.
    MAHUDHURIO: 60,049
    REFA: Jonas Eriksson (Sweden)

    Taking the lead: Klaas-Jan Huntelaar celebrates after scoring the opening goal
    Klaas-Jan Huntelaar akishangilia bao la kwanza alilofunga
    On its way: Huntelaar fires his effort towards goal
    Huntelaar akifunga
    Despair: Mikel Arteta reacts to Arsenal going behind
     Mikel Arteta akisikitikia kipigo
    Sneaking in: Ibrahim Afellay scores the second for Schalke
    Ibrahim Afellay akiifungia la pili Schalke
    Dreamland: Afellay celebrates his goal
    Afellay akishangilia bao lake
    Race for the ball: Lukas Podolski and Marco Hoger chase the ball
    Lukas Podolski na Marco Hoger wakigombea mpira
    Going down: Ibrahim Afellay goes down in the penalty area Ibrahim Afellay akifanya mishe kwenye lango la Arsenal
    Get up: Afellay appeals for a penalty but is booked for diving
     Afellay akilalamikia kukwatuliwa kwenye eneo la penalti, lakini akapewa njano akishutumiwa kujirusha
    Tough battle: Francis Coquelin is tackled by Marco Hoeger
    Francis Coquelakipambana na Marco Hoeger
    High jump: Coquelin goes airbourne as he is tackled by Hoeger
    Coquelin akichuana na Hoeger
     


    Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2222579/Arsenal-0-Schalke-2-Match-report.html#ixzz2AHCuDKfB
    Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ARSENAL YAPIGWA VIWILI NYUMBANI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top