// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ZUNGU JIPYA LASAINI MWAKA MMOJA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ZUNGU JIPYA LASAINI MWAKA MMOJA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 29, 2012

    ZUNGU JIPYA LASAINI MWAKA MMOJA YANGA


    Kocha mpya wa Yanga, Ernstus ‘Ernie’ Wilhelmus Johannes Brandts, amesaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu hiyo mbele ya Waandishi wa Habari, katika Mkutano uliofanyika makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. Upande wa Yanga, uliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wa klabu, Clement Sanga ambaye alishuhudiwa na viongozi wengine wa klabu hiyo, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Mussa Katabaro, Katibu Mkuu, Lawrence Mwalusako na Majjid Suleiman, mmoja wa watu muhimu kwenye klabu hiyo. Habari inakuja...
    Brandts kulia na Sanga kushoto

    Anamwaga wino

    Brandts kulia na Sanga kushoto

    Brandts na Sanga

    Brandts na Sanga

    Brandts na Sanga

    Brandts na Sanga

    Mkutano

    Mwalusako akimshuhudia Sanga

    Dina Ismail na Vicky Kimaro kazini

    Brandts akifafanua jambo, kulia ni Majjid

    Katabaro na Mwalusako

    Makuburi Ally, pembezi ni wazee wa Yanga wakipiga chabo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ZUNGU JIPYA LASAINI MWAKA MMOJA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top