// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIUNGO COASTAL ATOROKA KAMBINI NA KWENDA KUPIGA 'NDONDO' MUHIMBILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIUNGO COASTAL ATOROKA KAMBINI NA KWENDA KUPIGA 'NDONDO' MUHIMBILI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Thursday, September 27, 2012

        KIUNGO COASTAL ATOROKA KAMBINI NA KWENDA KUPIGA 'NDONDO' MUHIMBILI

        Jioni hii, BIN ZUBEIRY alitembelea mazoezi ya timu ya Al Nasri kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Muhimbili na kumkuta kiungo wa Coastal Union, Mohamed Bin Slum ‘akipiga ndondo’ wakati timu yake ipo kwenye maandalizi ya Ligi Kuu Tanga, cheki picha mbalimbali za mazoezi ya timu hiyo inayomilikiwa na Nassor Bin Slum, mdhamini mkuu wa Coastal Union na Villa Squad.
        Nassor Bin Slum

        Abdillah 

        Mohamed Bin Slum

        Ally Bin Slum

        Add caption

        Nassor Bin Slum akifumua shuti

        Nassor Bin Slum anamzuia mtu safarini

        Mohamed Bin Slum mwenye beep nyekundu

        Mohamed Bin Slum akiinuka baada ya kuumizwa. Swali, akiumia hapa kwenye 'ndondo' atatibiwa na Coastal au Al Nasri?


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KIUNGO COASTAL ATOROKA KAMBINI NA KWENDA KUPIGA 'NDONDO' MUHIMBILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry