// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FALCAO KUTUA CHELSEA JANUARI, TAYARI WAMEKWISHAKUBALIANA DAU NA ATLETICO MADRID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FALCAO KUTUA CHELSEA JANUARI, TAYARI WAMEKWISHAKUBALIANA DAU NA ATLETICO MADRID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 02, 2012

    FALCAO KUTUA CHELSEA JANUARI, TAYARI WAMEKWISHAKUBALIANA DAU NA ATLETICO MADRID


    Radamel Falcao, mshambuliaji wa kimataifa wa Colombia ambaye alipiga hat-trick dhidi ya Chelsea katika mechi ya Super Cup ya UEFA, anaweza kujiunga na klabu hiyo ya London Januari, mwakani. 
    Taarifa kutoka Amerika Kusini jana usiku zimesema kwamba,  makubaliano ya awali baina ya timu ya Falcao, Atletico Madrid na Chelsea yamefikiwa na uhamishom utagharimu pauni Milioni 48. 
    Falcao, aliyezaliwa miaka 26 iliyopita, htayari amefunga mabao sita katika mechi tatu msimu huu na kwa sasa ni mmoja wa washambuliaji hatari sana duniani. 
    Target: Chelsea are interested in bringing Radamel Falcao in
    ANAKUJA DARAJANI: Chelsea inataka kumsajili Radamel Falcao
     
    Msimu uliopita, ni Lionel Messi na Cristiano Ronaldo pekee waliofunga mabao mengi kuliko mtambo huo wa mabao wa Atletico katika La Liga. 
    Competition: Torres may have to fight for his place again
     MTIHANI MWINGINE WAJA: Torres anaweza kurudi kwenye vita ya kugombea namba tena. Baada ya Didier Drogba kuondoka, Falcao anakuja

    Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196970/Radamel-Falcao-join-Chelsea-48m-January.html#ixzz25HcY3UNZ
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FALCAO KUTUA CHELSEA JANUARI, TAYARI WAMEKWISHAKUBALIANA DAU NA ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top