Baada ya Chelsea kumajili beki wa kulia wa Hispania, Cesar Azpilicueta, mwenye umri wa miaka 22, kutoka Marseille jana, imefanikiwa tena kukamilisha usajili wa pauni Milioni 9 wa mshambuliaji wa Wigan, Victor Moses baada ya kufuzu vipimo vya afya.
Mshambuliaji wa Wigan, Victor Moses (kushoto) akicheza dhidi ya Chelsea Jumapili iliyopita
Moses
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2193257/Victor-Moses-signs-Chelsea.html#ixzz24WvrV9wE
0 comments:
Post a Comment