Kiungo wa Tottenham, Rafael van der Vaart amerejea Hamburg kwa uhamisho wa pauni Milioni 10.3. Kiungo huyo wa kimataifa wa Uholanzi, amesaini mkataba wa miaka mitatu na klabu hiyo ya Bundesliga, baada ya kufuzu vipimo vya afya na kukabidhiwa jezi namba 23 ya kufanyia kazi Imtech Arena.
KARIBU NYUMBANI: Rafael van der Vaart akiwa na Frank Arnesen
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196221/Rafael-van-der-Vaart-signs-Hamburg-Tottenham.html#ixzz258ZPTQDV
0 comments:
Post a Comment