Yohan Blake na Usain Bolt wameng'ara tena kwenye mbio za Diamond League mjini Zurich.
Wajamaica Blake, aliyeshinda medali mbili za Fedha kwenye Olimpiki London, wakimgaragaza Mmarekani Tyson Gay - wamefanya mambo tena.
Usain Bolt akikimbia kushinda mbio za mita 200 Zurich
Kinara tena: Usain Bolt akishangilia ushindi wa mbio za mita 200 kwenye mbio za Diamond League mjini Zurich.
Mbele: Yohan Blake (kushoto) akishinda mbio za mita 100 Zurich
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/othersports/article-2195993/Usain-Bolt-Yohan-Blake-win-Zurich.html#ixzz257A9QdAA
0 comments:
Post a Comment