Manchester City imekamilisha usajili wa Scott Sinclair mwenye umri wa miaka 23, kutoka Swansea na winga huyo, atakuwepo kwenye kikosi kitakachoivaa QPR kesho.
Scott Sinclair akiwa na jezi ya Manchester City leo
Scott Sinclair (katikati) akiwa mazoezini na timu yake mpya, Manchester City
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196301/Manchester-City-sign-Scott-Sinclair-Swansea-transfer-deadline-day.html#ixzz258f0g1YA
0 comments:
Post a Comment