// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MBUYU TWITE 'RAGE' AANZA KAZI RASMI LEO JANGWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MBUYU TWITE 'RAGE' AANZA KAZI RASMI LEO JANGWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, August 31, 2012

        MBUYU TWITE 'RAGE' AANZA KAZI RASMI LEO JANGWANI


        Picha tofauti zikimuonesha beki mpya wa Mabingwa wa Soka wa Kombe la Kagame, Yanga, Mbuyu Twite akijifua na wenzake katika mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam leo. PICHA ZOTE KWA HISANI YA HABARI MSETO BLOG.
         Twite akipokea maelekezo kutoka kwa kocha wa Yanga Tom Saintfiet

         Twite akipiga 'push-up' katika mazoezi yake ya kwanza akiwa na Yanga jijini Dar es Salaam yaliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Mabibo Dar es Salaam.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MBUYU TWITE 'RAGE' AANZA KAZI RASMI LEO JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry