Robin van Persie amefunga bao lake la kwanza Manchester United na kukiwezesha kikosi cha Sir Alex Ferguson kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Fulham, Uwanja wa Old Trafford jioni hii.
Van Persie, ambaye alitokea benchi kuingia uwanjani Jumatatu United ikifungwa na Everton baada ya kukamilisha uhamisho wa pauni Milioni 24 kutoka Arsenal, alipewa nafasi leo, wakati Wayne Rooney akianzia benchi.
Robin van Persie akifunga bao lake la kwanza Manchester United
Van Persie akipongezwa ma wenzake baada ya kuifungia bao Manchester United
Robin van Persie akifurahia bao lake la kwanza akiwa na jezi ya Manchester United
Shinji Kagawa akiifungia United
Shinji Kagawa akishangilia.
Rafael (Namba 2) aliifungia Manchester United
Rafael akishangilia bao lake
Kipa wa Fulham, Mark Schwarzer
TAKWIMU ZA MECHI
Manchester United: De Gea, Da Silva, Carrick, Vidic, Evra, Cleverley, Anderson (Giggs 81), Valencia, Kagawa (Rooney 68), Young (Welbeck 68), Van Persie
BENCHI: Lindegaard, Evans, Hernandez, Scholes
MABAO: Van Persie 10, Kagawa 35, Rafael 41
Fulham: Schwarzer, Riether, Hughes, Hangeland, Briggs, Duff, Diarra (Baird 81),Dembele, Kacaniklic (Sidwell 62), Ruiz, Petric (Rodallega 72)
BENCHI: Stockdale, Kelly, Kasami,Halliche
MABAO: Duff 3, Vidic (og) 64
NJANO: Hangeland
REFA: Kevin Friend (Leicestershire)
MAHUDHURIO: 75,352
0 comments:
Post a Comment