Kocha wa Manchester City, Roberto Mancini amemnasa beki wa kulia wa Inter Milan, Maicon kwa dau la pauni Milioni 3. Usajili wa beki huyo Mbrazil ilikuwa moja ya malengo makuu ya Mancini kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.
Maicon akiwa na jezi ya Man City
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196275/Maicon-signs-Manchester-City.html#ixzz258dUiWyL
0 comments:
Post a Comment