Kieran Richardson mwenye umri wa miaka 27, leo amekamilisha usajili wake kutua Fulham akitokea Sunderland akijitia pingu miaka mitano kufanya kazi Craven Cottage.
Kieran Richardson akiwa na jezi ya Fulham
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196264/Kieran-Richardson-signs-year-Fulham-deal.html#ixzz258gvE7k1
0 comments:
Post a Comment