Kiungo wa Tottenham, Jermaine Jenas hatamfuata Danny Rose Sunderland, baada ya beki huyo wa pembeni, Rose kujiunga na Black Cats kwa mkopo wa msimu mmoja. Martin O'Neill amekubali kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, Jenas huku uhamisho wa jumla ukifanyiwa kazi.
Danny Rose
Jermaine Jenas
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196298/Danny-Rose-joins-Sunderland-Jermaine-Jenas-deal-breaks-down.html#ixzz258jpsWEi
0 comments:
Post a Comment