Stoke City imemsajili kiungo wa Scotland, Charlie Adam kwa dau la pauni Milioni 4 kutoka Liverpool. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 28, alipokewa na kocha wa Tony Pulis katika Uwanja wa mazoezi wa Stoke leo asubuhi kabla ya kufanyiwa vipimo afya na kusaini mkataba wa miaka minne.
Charlie Adam akiwa na jezi yake Stoke
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196218/Charlie-Adam-completes-4m-Stoke-move.html#ixzz258bZmQQL
0 comments:
Post a Comment