Nicklas Bendtner amefanyiwa vipimo vya afya leo Juventus kuelekea mpango wa uhamisho wake kutoka Arsenal. Bendtner, alicheza kwa mkopo Sunderland msimu uliopita, na amekuwa akitafuta njia ya kutokea Emirates tangu kutua kwa Lukas Podolski na Olivier Giroud. Juve ilirejesha nia ya kumsajili Bendtner baada ya kumkosa mshambuliaji wa Manchester United, Dimitar Berbatov.
Nicklas Bendtner anaondoka Arsenal kuelekea Juventus
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196205/Nicklas-Bendtner-set-Juventus-medical.html#ixzz258iR6zY2
0 comments:
Post a Comment