Cesar Azpilicueta ameanza mazoezi na Chelsea leo asubuhi baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Marseille.
Beki huyo wa kulia wa kimataifa wa Hispania, mwenye umri wa miaka 22, anatua Stamford Bridge kwa dau la pauni Milioni 7, akisaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa hao wa Ulaya.
Cesar Azpilicueta baada ya kukabidhiwa jezi ya Chelsea
Cesar Azpilicueta akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa timu yake mpya leo
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2192964/Cesar-Azpilicueta-Chelsea-complete.html#ixzz24TqMVMNo
0 comments:
Post a Comment