HATIMAYE...: Andy Carroll amekamilisha uhamisho wa kopo kwenda West Ham kutoka Liverpool. Pichani mshambuliaji hiyo wa timu iliyowahi kutaka kumsajili Mrisho Ngassa akiwa na jezi ya klabu yake hiyo mpya. Je, atafufua makali yake yaliyomfanya asajiliwe na Wekundu wa Anfield kutoka Newcastle?
Maya Jama is being followed on Instagram by Ruben Dias' mother - after Love
Island host jetted over to Lisbon to watch Man City star play for Portugal
-
Maya Jama is being followed on Instagram by Ruben Dias' mother, prompting
speculation over a relationship between the Love Island host and the
Manchester C...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment