
Friday, August 31, 2012

Picha tofauti zikimuonesha beki mpya wa Mabingwa wa Soka wa Kombe la Kagame, Yanga, Mbuyu Twite akijifua na wenzake katika mazoezi ya ku...
JENAS, DANNY ROSE NJIA TOFAUTI
Friday, August 31, 2012
Kiungo wa Tottenham, Jermaine Jenas hatamfuata Danny Rose Sunderland, baada ya beki huyo wa pembeni, Rose kujiunga na Black Cats kwa mkopo...
BENDTNER ATUA JUVE, AFANYIWA VIPIMO VYA AFYA
Friday, August 31, 2012
Nicklas Bendtner amefanyiwa vipimo vya afya leo Juventus kuelekea mpango wa uhamisho wake kutoka Arsenal. Bendtner, alicheza kwa mkopo Su...
KIERAN RICHARDSON ATUA FULHAM MIAKA MITANO
Friday, August 31, 2012
Kieran Richardson mwenye umri wa miaka 27, leo amekamilisha usajili wake kutua Fulham akitokea Sunderland akijitia pingu miaka mitano kuf...
SINCLAIR ATUA RASMI MAN CITY NA KUANZA KAZI MARA MOJA
Friday, August 31, 2012
Manchester City imekamilisha usajili wa Scott Sinclair mwenye umri wa miaka 23, kutoka Swansea na winga huyo, atakuwepo kwenye kikosi kita...
MAN CITY YAMSAJILI MAICON
Friday, August 31, 2012
Kocha wa Manchester City, Roberto Mancini amemnasa beki wa kulia wa Inter Milan, Maicon kwa dau la pauni Milioni 3. Usajili wa beki huyo M...
CHARLIE ADAM ATUA STOKE CITY
Friday, August 31, 2012
Stoke City imemsajili kiungo wa Scotland, Charlie Adam kwa dau la pauni Milioni 4 kutoka Liverpool. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 28, a...
VAN DER VAART AREJEA HAMBURG
Friday, August 31, 2012
Kiungo wa Tottenham, Rafael van der Vaart amerejea Hamburg kwa uhamisho wa pauni Milioni 10.3. Kiungo huyo wa kimataifa wa Uholanzi, amesa...
BABA CHOVU ATUA FULHAM KUFUFUA MAKALI
Friday, August 31, 2012
Dimitar Berbatov leo amekamilisha uhamisho wake wa pauni Milioni 5 kwenda Fulham, akisaini mkataba wa miaka miwili kufanya kazi Craven Cot...
FC KILIMANJARO YAZIDI KUWANYIMA RAHA WENYE NCHI YAO
Friday, August 31, 2012
JANA FC-KILIMANJARO IMESHINDA GOLI 5 -2 DHIDI YA APOLLON SOLNA FK NA KUENDELEA KUONGOZA KTK LIGI KTK LIGI DARAJA 7 SWEDEN NA KUJIWEKA KTK...
USAIN BOLT ATISHA TENA DUNIA
Friday, August 31, 2012
Yohan Blake na Usain Bolt wameng'ara tena kwenye mbio za Diamond League mjini Zurich. Wajamaica Blake, aliyeshinda medali mbili za F...
MAWAKALA WAPYA FIFA KUTAHINIWA JUMAMOSI
Friday, August 31, 2012
Yussuf Bakhresa Na Dina Zubeiry MTIHANI kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa mawakala wa wachezaji wanaotambuliwa na Shirikisho la Soka ...
SIMBA WATUMA MALALAMIKO TFF KUHUSU TWITE, ILA WAO SASA...YANGA YAPANGUA USAJILI WAO WOTE!
Friday, August 31, 2012
Mbuyu Twite akiwa amevaa jezi yenye jina Rage, baada ya kutua Dar es Salaam jana Na Prince Akbar KLABU mbalimbali zimewasilisha ping...
SIMBA, YANGA OKTOBA 3 LIGI KUU
Friday, August 31, 2012
Abdallah Juma wa Simba SC, mmoja wa wachezaji wanaotarajiwa kucheza Ligi Kuu Na Prince Akbar MICHUANO ya Ligi Kuu kuwania ubingwa wa...
SERENGETI KUJIPIMA NA ASHANTI
Friday, August 31, 2012
Na Princess Asia TIMU ya soka ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys iliyokuwa kambini kujiandaa kwa mechi d...
MTIBWA YASAJILI MGANDA, ITC YATUMWA FASTA
Friday, August 31, 2012
Kocha wa Mtibwa, Mecky Mexime Na Prince Akbar SHIRIKISHO la Soka Uganda (FUFA) limetuma Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) kwa ajil...
LIVERPOOL YASHIKWA MKWIJI ULAYA
Friday, August 31, 2012
Liverpool preserved a proud European record but, as is becoming the modern way of this once-great club, they did it in the most complicat...
Subscribe to:
Posts (Atom)