Simba imepigwa mabao 3-1 na Azam FC leo katika Robo Fainali
ya mwisho ya Klabu Bingwa ya soka Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam- lakini unaweza kustaajabu kipigo hicho mashabiki wa Simba
walitabiri kuwapa Azam, ila ajabu kimewageukia wao. Tazama picha hizi za mashabiki
wa Simba na Azam wakitambiana, nani kainua vidole vitatu juu?
Knicks and Bucks advance to NBA Cup knockout stage
-
The New York Knicks and Milwaukee Bucks earn their places in the NBA Cup
quarter-finals with decisive wins.
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment