KIPINDI cha kwanza kimemalizika mechi ya pili ya Kundi A,
Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, kati ya Simba SC na Ports ya Djibouti Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam na timu hizo hazijafugana.
Felix Sunzu, mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia, hayuko
vizuri na hastahili kurejea uwanjani kipindi cha pili, kwani amepoteza nafasi
tatu za wazi mno, akiwa amebaki yeye na kipa.
Simba SC; Juma Kaseja, Haruna Shamte, Amir Maftah, Shomary
Kapombe, Haruna Moshi ‘Boban’, Mussa Mudde, Felix Sunzu, Amri Kiemba, Mwinyi
Kazimoto, Lino Masombo na Kanu Mbivayanga.
Bench; Hamadi Waziri, Obadia Mungusa, Jonas Mkude, Juma Nyosso,
Uhuru Suleiman, Abdallah Juma, Kiggi makassy, Salum Kinje, Danny Mrwanda.
Kocha; Milovan Cirkovick (Serbia)
Porst FC; Kalid Ali Moursal, Kadar Abass Abanel, Mohamed Omar
Arab, Abdourahman Isman, Jean Paul Niyobabariba, Mehdi Ahmaed Moumin, Vincent Taboko Agbor,
Omar Mohamed Hassan, Daher Hassan Ali, Roland Ayuk Agbor na Gasama Jean Bosco.
Benchi; Sahal Omar Ismail, Ahmad-Id Mohamoud, Abdillahi Hamadou,
Gamil Ali Said, Mohamed Idriss Mohamed, Chirdon Osman Farah na Ryad Said Awad.
Kocha; Issa Mvuyekure
0 comments:
Post a Comment