// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MASHUJAA WAFYATUA RISASI KIDOLE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MASHUJAA WAFYATUA RISASI KIDOLE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, July 18, 2012

    MASHUJAA WAFYATUA RISASI KIDOLE

    Bendi ya Mashujaa, inayokuja kwa kishindo katika soko la muziki wa dansi nchini, imefyatua video mpya, ya wimbo Risasi Kidole, ambayo itazinduliwa baada ya mfungo wa mwezi mtukufutu wa Ramadhani. Meneja wa bendi hiyo, Matrine Sospeter amesema video hiyo itaanza kuonekana kwenye vituo mbaolimbali vya Televisheni nchini kote, wakati wowote kuanzia sasa. Pichani chini; kulia ni mwanamuziki wa bendi hiyo na mtunzi wa wimbo huo, Chalz Baba akionyesha CD ya wimbo huo. Kushoto ni Martine Sospeter.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHUJAA WAFYATUA RISASI KIDOLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top