Kocha wa Yanga, Tom Saintfiet anaonekana kuwa na sifa ya uungwana na kuweka mbele uzalendo wa taifa analofanyia kazi; Leo wakati wa mapumziko katika mechi ya Azam na AS Vita, alimfuata kocha wa Azam, Stewart Hall na kumpa ushauri wa kiufundi, wakati Azam ikiwa nyuma kwa 1-0 na kwa kuonyesha kwamba ushauri wake ulikuwa mzuri, Azam walifanikiwa kupata mabao mawili kipindi cha pili na kushinda 2-1. Jumamosi makocha hao timu zao zitakutana katika fainali, je hali itakuwaje? Hakika si shoo la kukosa.
![]() |
Gumbo akitibiwa na Dk Sufiani Juma wa Yanga baada ya kuumia |
![]() |
Dida akishangilia na mashabiki wa Azam |
![]() |
Beki la kazi, Said Mourad 'Mweda' |
![]() |
Mguu wa kulia wa Juma Abdul ulioumia kifundo kama unavyoonekana pichani |
![]() |
Kiungo bora kabisa Afrika Mashariki kwa sasa, Salum Abubakar Sure Boy |
![]() |
Yanga na APR wanaingia |
![]() |
Azam na AS Vita baada ya mechi wakitoka uwanjani |
![]() |
Kocha Muingereza, Kally Ongala wa Azam, msaidizi wa Muingereza mwenzake, Stewart Hall |
![]() |
Kipa wa AS Vita akilalamika kwa refa |
![]() |
Azam na AS Vita |
![]() |
Fanya fyoko uone wakiwa tayari kwa kazi |
![]() |
Raha ya mechi bao; Ngassa akipongezwa |
![]() |
Ngassa bado wamo, wanambania tu |
![]() |
Mashabiki wa Yanga |
![]() |
Gau akipiga jaramba |
![]() |
Mashabikinwa Yanga |
![]() |
Bao la Yanga lilianzia hapa; wakati wachezaji wa APR wakiwa wamezubaa chini, Gumbo kushoto alikwenda kurusha haraka, Niyonzima akaingia nao mpira akampa Kiiza akafunga |
![]() |
Braza Gau |
![]() |
Yanga wamekosa bao wanarudi haraka |
![]() |
Hivi ndivyo Bocco alivyoruka kufunga bao |
![]() |
Wakati wa mapumziko mechi ya Yanga na Vita; Kocha wa Yanga, Tom Saintfiet alimuita kocha wa Azam, Stewart Hall kumuelekeza mambo na kipindi cha pili Azam ikatoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1 |
![]() |
Yanga na APR |
![]() |
Beki wa APR analala na kuutoa mpira miguuni mwa Shamte Ally |
![]() |
Stewart na Tom wakizungumza mapumziko Azam na Vita |
![]() |
Kocha Stewart Hall |
![]() |
Kiiza akinyemelea |
0 comments:
Post a Comment