CHALI; Bondia Amir Khan wa Uingereza akiwa chini baada ya kudondoshjwa na katika raundi ya nne na Mmarekani, Danny Garcia ambaye hajawahi kupigwa. Hii ni mara ya pili mfululizo kwa Khan kupigwa Las Vegas.