// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HUYU NDIYE KOCHA WA AS VITA ALIYEONEKANA WA KAZI KAZI YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HUYU NDIYE KOCHA WA AS VITA ALIYEONEKANA WA KAZI KAZI YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, July 21, 2012

        HUYU NDIYE KOCHA WA AS VITA ALIYEONEKANA WA KAZI KAZI YANGA

        Kocha wa AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Raoul Jean Pierre Shungu aliyewahi kuinoa Yanga (1998-2001).  Shungu alifukuzwa Yanga, enzi hizo Mwenyekiti Tarimba Abbas, akaenda Mtibwa Sugar, ambako baada ya msimu mmoja akaenda Rwanda, Shelisheli na sasa yuko nyumbani kwao, DRC. Vita leo imetoka 1-1 na Simba SC leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hadi sasa, Vita ndiyo timu inayosifika kwa kuongoza kwa kandanda ya kuvutia zaidi katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki, Kombe la Kagame inayoendelea nchini. 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: HUYU NDIYE KOCHA WA AS VITA ALIYEONEKANA WA KAZI KAZI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry