// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HISPANIA SHEREHE HADI IKULU, WAJIACHIA NA MFALME WAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HISPANIA SHEREHE HADI IKULU, WAJIACHIA NA MFALME WAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, July 03, 2012

    HISPANIA SHEREHE HADI IKULU, WAJIACHIA NA MFALME WAO

    MABINGWA wa Ulaya, Hispania wamepata maokezi makubwa nyumbani mjini Madrid, wakirejea kwenye Ukraine na taji laoy. 
    Baada ya kuifunga Italia 4-0 mjini Kiev usiku wa Jumapili, Hispania waliondoka asubuhi ya jana kurejea nyumbani.
    Welcome home: Tens of thousands of people filled the streets of Madrid as the Spanish national team were paraded through the streets
    KARIBUNI NYUMBANI: malefu ya mashabiki katika mitaa ya Jiji la Madrid wakiilaki timu
    Welcome home: Tens of thousands of people filled the streets of Madrid as the Spanish national team were paraded through the streets
    Welcome home: Tens of thousands of people filled the streets of Madrid as the Spanish national team were paraded through the streets
    King of Cups: Prince Felipe, Princess Leonor and Princess Sofia gave the personal touch to the celebrations, while Iker Casillas and the rest of his squad were later swamped by the public
    King of Cups: Prince Felipe, Princess Leonor and Princess Sofia gave the personal touch to the celebrations, while Iker Casillas and the rest of his squad were later swamped by the public
    Centre stage: The procession eventually came to an end in downtown Madrid, at which point the players packed onto a stage to receive yet more adulation from the gathering crowd
    KATIKATI: Sherehe zilifikia tamati katikati ya Jiji la Madrid, ambako wachezaji walisimama kusherehekea na mashabiki
    Centre stage: The procession eventually came to an end in downtown Madrid, at which point the players packed onto a stage to receive yet more adulation from the gathering crowd
    Centre stage: The procession eventually came to an end in downtown Madrid, at which point the players packed onto a stage to receive yet more adulation from the gathering crowd
    Centre stage: The procession eventually came to an end in downtown Madrid, at which point the players packed onto a stage to receive yet more adulation from the gathering crowd
    Snap: The Spanish team pose for a photo with Spanish King Juan Carlos at La Zarzuela Palace
    PICHA NA MFALME: Kikosi cha Hispania katika picha ya pamoja na Mfalme wa Hispania,  Juan Carlos at La Zarzuela Palace
    Spain off the plane: Iker Casillas holds the trophy alongside boss Vicente Del Bosque
    Hispania kwenye ndege: Iker Casillas akiwa ameshikilia Kombe pembeni ya kocha wake, Vicente Del Bosque
    All smiles: Del Bosque and Casillas enjoyed touching down in Madrid
    Tabasamu tupu: Del Bosque na Casillas

    HISPANI NA MATUKIO YA NAMBA

    20 - Mechi za ushindani walizocheza tangu wafugwe mara ya mwsiho.
    29 - Idadi ya mechi za Kombe la Ulaya walizocheza bila kufungwa, tangu wafungwe mara ya mwisho 2-0 na Sweden katika mechi za kufuzu Oktoba 2006.
    8 - Idadi ya wachezaji waliocheza fainali mbili za Euro wakiibebesha taji Hispania - ambao ni Iker Casillas, Andris Iniesta, Xavi Hernandez, Fernando Torres, Cesc F`bregas, Xabi Alonso, Sergio Ramos na David Silva.
    79 - Idadi ya mechi za kimataifa ambazo Casillas hakufungwa, na ameshinda mechi 100 katika ya mechi 137 alizoichezea timu yake hiyo hadi sasa.
    513 - Idadi ya dakika tangu Casillas afungwe mechi ya mwisho ya Kundi C, katika sare ya 1-1 na Italia Juni 10.
    189 - Idadi ya jumla ya dakika alizocheza  Torres katika fainali hizi.
    63 - Wastani wa dakika alizotumia Torres kufunga bao moja hadi lingine katika mabao yake matatu.
    3,946 - Idadi ya pasi katika Euro 2012.
    620 - Idadi ya kosa kosa za Xavi.
    531 - Idadi ya mechi hizo inakamilishwa na Xavi mwenye wastani wa kugawa vyumvba kwa asilimia 86.

    I'll drink to that: Pepe Reina, Santiago Cazorla, Sergio Ramos and Xabi Alonso enjoy a toast
    ITUNWE WOTE!: Pepe Reina, Santiago Cazorla, Sergio Ramos na Xabi Alonso wakifurahia  toast
    Landing: The Spanish side wore shorts and t-shirts as they emerged into the Madrid heat
    Wametua: Kikosini cha Hispania kikitua Madrid
    Gerard Pique
    Andres Iniesta (L) and Cesc Fabregas
    MASWAHIBA: Gerard Pique (kushotot) na Andres Iniesta.
    Hotting up: Supporters are sprayed with water as they wait for the team to arrive at Plaza Cibeles
    Iker Casillas
    Vicente del Bosque
    SHUJAA: Casillas na Del Bosque ndio walibeba Kombe kwenye ndege
    Pride: The plane taking the players back home had two national flags up front
    Cool: Sergio Ramos peers through his sunglasses on the tarmac at the airport
    POWA: Sergio Ramos 
    Wave: Casillas was greeted by crowds as he headed into the check-in area
    SHANGWE: Casillas 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HISPANIA SHEREHE HADI IKULU, WAJIACHIA NA MFALME WAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top