// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ETI HAWA HAWAZIDI UMRI WA MIAKA 20 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ETI HAWA HAWAZIDI UMRI WA MIAKA 20 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, July 30, 2012

    ETI HAWA HAWAZIDI UMRI WA MIAKA 20

    Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria chini ya umri wa miaka 20, Flying Eagles jana imeifunga timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya Raundi ya Pili, kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika. Hawa ni baadhi ya wachezaji wa Flying Eagles katika benchi lao, kweli ni U20 hawa jamani? Hawa si Super Eagles kabisa, tena wale wanaokaribia kutungika daluga!

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ETI HAWA HAWAZIDI UMRI WA MIAKA 20 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top