JEZI namba 11 ya Yanga anavaa Said Bahanuzi ‘Spider
Man’ na jezi namba 11 ya Simba anavaa Abdallah Juma ‘Dullah Mabao’. Hadi sasa,
katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame
yanayoendelea mjini Dar es Salaam, Bahanuzi amekwishafunga mabao manne kwenye
mechi tatu, wakati Abdallah amefunga mawili katika mechi mbili. Leo, Dullah
Mabao anacheza mechi ya tatu na ya mwisho ya kundi lao, A dhidi ya AS Vita ta Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)- bila shaka anaweza kutikisa nyavu tena na kujiimarisha
katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu cha mashindano haya. BIN
ZUBEIRY inakuambia endelea kuwafuatilia vijana hawa katika mashindano
hayo. Wote wanavaa jezi namba 11. Leo uwanjani tupia jicho lako katika jezi 11.
Siku Yanga ikicheza tupia jicho kwa jezi 11.
Morocco Crowned Afcon U-17 Champions
-
Morocco were crowned champions of the TotalEnergies CAF U-17 Africa Cup of
Nations for the first time in their history after defeating two-time
winners M...
Restructuring of FAMACO
-
The Federation of Uganda Football Associations (FUFA) is committed to
professionalising and advancing football administration and management in
Uganda. I...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment