// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ANGALIA KALENDA YA MSIMU YA TFF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ANGALIA KALENDA YA MSIMU YA TFF - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, July 10, 2012

    ANGALIA KALENDA YA MSIMU YA TFF

    Taifa Stars wakipasha

    SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
    KALENDA YA MATUKIO 2012-13
    TUKIO TAREHE
    KIPINDI CHA KWANZA CHA MATAYARISHO YA MSIMU 01 JUNI HADI 20 AGOSTI 2012
    KIPINDI KIKUU CHA MAPUMZIKO KWA WACHEZAJI  01 JUNI HADI 30 JUNI 2012
    KIPINDI CHA KWANZA CHA UHAMISHO 15 JUNI HADI 30 JULAI 2012
    KUTANGAZA WACHEZAJI WA KUACHWA (SIO WA LIGI KUU) 15 JUNI HADI 30 JUNI 2012
    KUTANGAZA WACHEZAJI WATAKAOSITISHA MIKATABA  15 JUNI HADI 30 JUNI 2012
    USAJILI WA KWANZA 15 JUNI HADI 10 AGOSTI  2012
    KUPITIA MAJINA NA KUTANGAZA PINGAMIZI 11 AGOSTI HADI 18 AGOSTI 2012
    KUTHIBITISHA USAJILI HATUA YA AWALI 19 AGOSTI HADI 20 AGOSTI 2012
    USAJILI HATUA YA PILI 21 AGOSTI HADI 4 SEPTEMBA 2012
    KUTHIBITISHA USAJILI HATUA YA PILI 5 SEPTEMBA HADI 6 SEPTEMBA 2012
    KUTAYARISHA TIMU KIPINDI CHA KWANZA  01 JULAI HADI 20 AGOSTI 2012
    MECHI ZA KIRAFIKI ZIARA NDANI NA NJE YA NCHI 01 JULAI HADI 20 AGOSTI 2012
    KUTOA RATIBA YA LIGI KUU  23 JULAI 2012
    KIPINDI CHA KWANZA CHA MASHINDANO 25 AGOSTI HADI 04 NOVEMBA 2011
    NGAO YA HISANI KUCHEZWA MIKOA YOTE KUFUNGUA MSIMU 25 AGOSTI 2012
    LIGI KUU YA VODACOM  MZUNGUKO WA KWANZA KUANZA 01 SEPTEMBA 2012
    LIGI DARAJA LA KWANZA -NYUMBANI NA UGENINI KUANZA 15 SEPTEMBA HADI 04 NOVEMBA 2012
    LIGI YA TAIFA
    NGAZI YA WILAYA KUANZA - MIKOA YOTE 08 SEPTEMBA HADI 31 OKTOBA 2012
    LIGI YA WANAWAKE
    NGAZI YA WILAYA KUANZA - MIKOA YOTE 08 SEPTEMBA HADI 31 OKTOBA 2012
    KOMBE LA FA
    HATUA YA AWALI - NGAZI YA WILAYA NA MKOA 24 SEPTEMBA 2012 HADI 12 MEI 2013
    MASHINDANO YA KIMATAIFA KWA VILABU
    KAGAME CUP JULY 2012.
    MASHINDANO YA CAF YA LIGI YA MABINGWA  JUL, AUG, SEPT, OCT, NOV,DEC, 2012
    MASHINDANO YA KOMBE LA CAF JUL, AUG, SEPT, OCT, NOV, DEC, 2012
    MICHEZO YA KIRAFIKI NA MASHINDANO YA TIMU ZA TAIFA
    MCHEZO WA KIRAFIKI (TAREHE YA FIFA) AUG, NOV, 2012
    MASHINDANO YA CAF/FIFA (TAIFA STARS) JUNI, SEP, OKT,2012
    MASHINDANO YA KUFUZU FAINALI ZA CHAN SEPT, OKT, 2012
    MASHINDANO  CAF YA KUFUZU FAINALI ZA WANAWAKE JUNI, 2012
    MASHINDANO YA KUFUZU FAINALI ZA AFCON JUNI, AOG, SEPT, OKT, 2012
    MASHINDANO YA CAF KUFUZU FAINALI ZA U.20 JUNI, JULAI, SEPT, 2012
    MASHINDANO YA CAF KUFUZU FAINALI ZA U.17 SEPT, OKT, 2012
    CECAFA KARUME CUP U.20
    CECAFA CUP U.17 AGUSTI, 2012
    CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP  NOVEMBA, DESEMBA 2012 -KENYA
    FAINALI ZA WANAWAKE SEPTEMBA 2012 - EQUATORIAL GUINE
    MASHINDANO MENGINE
    KOMBE LA KILIMANJARO LAGER (TBL) 23 JULAI HADI 06 AUGOSTI 2012
    KOMBE LA BANK ABC 01 AGOSTI HADI 19 AGOSTI 2012
    SHIMUTA NOVEMBA 2012
    SHIMIWI OKTOBA 2012
    MASHINDANO YA VIJANA - U.14
    NGAZI YA WILAYA NA MKOA - MIKOA YOTE NOVEMBA NA DESEMBA 2012
    MSHINDANO YA TAYSA
    MASHINDANO KUFANYIKA  NOVEMBA -DESEMBA 2012
    MASHINDANO YA SHULE - VYUO
    MASHINDANO YA UMISHUMTA
    MASHINDANO YA UMISETA  JUNI, 2012
    MASHINDANO YA SHIMIVUTA DESEMBA 2012
    LIGI YA VIJANA WA LIGI KUU YA VODACOM U.20
    LIGI YA VIJANA KUCHEZWA 10 NOVEMBA HADI 25 NOVEMBA 2012
    KIPINDI KIFUPI CHA MAPUMZIKO  15 NOVEMBA HADI 15 NOVEMBA 2012
    TUKIO TAREHE
    KIPINDI CHA PILI CHA MATAYARISHO YA MSIMU- 01 DESEMBA 2012 HADI 10 JANUARI 2013
    KIPINDI CHA PILI CHA UHAMISHO 15 NOVEMBA HADI 30 NOVEMBA 2012
    KIPINDI CHA PILI CHA USAJILI 15 NOVEMBA HADI 15 DESEMBA 2012
    KUTANGAZA WACHEZAJI WA KUACHWA (SIO WA LIGI KUU) 15 NOVEMBA HADI 22 NOVEMBA 2012
    KUTANGAZA WACHEZAJI WATAKAOSITISHA MIKATABA  15 NOVEMBA HADI 22 NOVEMBA 2012
    KUPITIA MAJINA NA KUTANGAZA PINGAMIZI 16 DESEMBA HADI 23 DESEMBA 2012
    KUTHIBITISHA USAJILI  27 DESEMBA HADI 28 DESEMBA 2012
    KUTAYARISHA TIMU KIPINDI CHA PILI 01 DESEMBA 2012 HADI 31 DESEMBA 2012 
    MECHI ZA KIRAFIKI ZIARA NDANI NA NJE YA NCHI 01 DESEMBA 2012 HADI 12 JANUARI 2012
    KIPINDI CHA PILI CHA MASHINDANO - 01 JAUNARI HADI 31 MEI 2013
    KOMBE LA MAPINDUZI 05 JANUARI HADI 12 JANUARI 2013
    LIGI KUU YA VODACOM MZUNGUKO WA PILI KUANZA 19 JANUARI HADI 28 APRILI 2013
    LIGI DARAJA LA KWANZA (FAINALI) KUCHEZWA 26 JANUARY HADI 16 MARCH 2013
    LIGI YA TAIFA
    NGAZI YA MKOA KUCHEZWA 05 JANUARI HADI 20 FEBRUARI 2013
    NGAZI YA KANDA KUCHEZWA  01 MACHI HADI 25 MACHI 2013
    LIGI YA WANAWAKE
    NGAZI YA MKOA KWA MIKOA YOTE KUCHEZWA 15 NOVEMBA HADI 20 DESEMBA 2012
    NGAZI YA TAIFA KUCHEZWA  26 JANUARI HADI  24 FEBRUARY 2013
    COPA COCACOLA
    USAMBAZAJI WA FOMU NA USAJILI 01 JANUARI HADI 30 JANUARI 2013
    MASHINDANO NGAZI YA WILAYA KUCHEZWA 05 FEBRUARI HADI 30 MACHI 2013
    MASHINDANO NGAZI YA MKOA KUCHEZWA 15 APRIL HADI 30 APRIL 2013
    KUANDAA TIMU KWA AJILI YA FAINALI YA TAIFA 05 MEI HADI 30 MEI 2013
    KOMBE LA FA
     FAINALI ZA KOMBE LA FA 12 MEI 2013
    MASHINDANO MENGINE
    MASHINDANO YA MAJESHI MACHI 2013
    MASHINDANO YA KIMATAIFA KWA VILABU
    MASHINDANO YA KOMBE LA CAF FEB, MARCH, APRIL 2013
    MASHINDANO YA CAF YA LIGI YA MABINGWA  FEB, MARCH, APRIL 2013
    CECAFA KAGAME CUP JULY, 2013
    KOMBE LA TAIFA
    MASHINDANO NGAZI YA MKOA KUCHEZWA 05 APRILI HADI 20 APRILI 2013
    MATAYARISHO YA KWANZA YA TIMU YA MKOA 22 APRILI HADI 04 MEI 2013
    KUWASILISHA USAJILI WA TIMU YA MKOA-TFF 27 APRILI 2013
    KUPITIA MAJINA NA KUTANGAZA PINGAMIZI 29 APRILI HADI 05 MEI 2013
    KUPITISHA USAJILI  05 MEI 2013
    MASHINDANO NGAZI YA TAIFA- MAKUNDI 05 MEI HADI 12 MEI 2013
    MATAYARISHO YA PILI YA TIMU YA MKOA 13 MEI HADI 18 MEI 2013
    FAINALI NGAZI YA TAIFA  21 MEI HADI 27 MEI 2013
    MICHEZO YA KIRAFIKI NA MASHINDANO YA TIMU ZA TAIFA
    MCHEZO WA KIRAFIKI (TAREHE YA FIFA) FEB, 2013
    MASHINDANO YA CAF/FIFA (TAIFA STARS) MARCH, 2013
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ANGALIA KALENDA YA MSIMU YA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top