// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YONDAN HAJATIMIZA MIAKA 18, ANASAINI VIPI MIKATABA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YONDAN HAJATIMIZA MIAKA 18, ANASAINI VIPI MIKATABA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Wednesday, June 06, 2012

    YONDAN HAJATIMIZA MIAKA 18, ANASAINI VIPI MIKATABA?

    Yondan kulia akimdhibiti Drogba mjini Abidjan Jumamosi iliyopita, Taifa Stars ilipomenyana na Ivory Coast.

    Beki Kelvin Patrick Yondan anadai amezaliwa Oktoba 9, mwaka 1994, ina maana Oktoba 9, mwaka huu ndio atatimiza miaka 18 na kwa mujibu wa sheria, huyu bado ni mtoto na haruhusiwi kusaini mkataba. Amekwishatumikia mikataba miwili Simba SC na sasa amesaini mkataba wa tatu Yanga. Hii imekaaje? Kihistoria huyu anakuwa beki wa tatu kusaini Yanga na baadaye kuikana timu hiyo, baada ya Amri Said mwaka 2001 na Victor Costa mwaka 2005. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YONDAN HAJATIMIZA MIAKA 18, ANASAINI VIPI MIKATABA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry