• HABARI MPYA

        Monday, June 25, 2012

        WARID FRANK NDIYE MISS ARUSHA 2012


        Warid Frank ndio Redds Miss Arusha 2012
        Msanii Diamond akitoa burudani ndani ya hotel ya Mount Meru kwenye onyesho la kumsaka Reds Miss Arusha
        Miss Arusha Waridi Frank akipita jukwaani na vazi la ubunifu
        Mrembo aliyeshika nafasi ya tatu Sarah benjamini akipita na vazi la ubunifu
        warembo walioingia tano bora
        Mrembo namba tatu Anitha Sebasitiani akiwa anapita jukwaani na vazi lake la ubunifu
        Msanii Sam Waukweli alikuwepo mmoja wapo katika kurembesha Redds Miss Arusha

        MASHINDANO YA KUMTAFUTA MREMBO WA JIJI LA ARUSHA MISS REDDS ARUSHA 2012 YAMEFANYIKA JIJI HAPA KATIKA HOTELI YA MOUNT MERU HUKU MREMBO WARID FRANK AKIIBUKA MSHINDI, NAMBA 2 IKISHIKWA NA SARAH BENJAMIN NA ANITHA SEBASTIAN AKISHIKA NAFASI YA TATU......PICHA NA WOINDE SHIZZA
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: WARID FRANK NDIYE MISS ARUSHA 2012 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry