// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VIMWANA WA MISS DAR INTER COLLEGE WAONYESHWA MAGARI YA MWALIMU NYERERE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VIMWANA WA MISS DAR INTER COLLEGE WAONYESHWA MAGARI YA MWALIMU NYERERE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, June 16, 2012

    VIMWANA WA MISS DAR INTER COLLEGE WAONYESHWA MAGARI YA MWALIMU NYERERE

    Vimwana wa Miss Dar Inter College katika pozi na Mwalimu wao, Picha zote na Princess Asia

    Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss Dar Inter College 2012, wakiangalia magari aliyowahi kutumia baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi zake akiwa Ikulu. Kwa sasa magari hayo yamehifadhiwa katika Makumbusho ya Taifa mjini Dar es Salaam. Ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yao kabla ya shindano hilo litakalofanyika JUNI 22 katika ukumbi huo huo wa Makumbusho, Kijitonyama, Dar es Salaam.

    Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la MIss Dar Inter College 2012 wakiangalia samaki aina ya Silikanti "KISUKUKU' ambaye mara ya mwishop kuonekana ilikuwa  mwaka 1965 kabla ya kuonekana tena mwaka 2003 katika kisiwa kimoja huko KILWA, .Ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yao kabla ya shindano hilo litakalofanyika JUNI 22 katika ukumbi huo.

    Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la MIss Dar Inter College 2012 wakiangalia simba ambaye alionekana miaka ya nyuma .Ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yao kabla ya shindano hilo litakalofanyika JUNI 22 katika ukumbi huo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIMWANA WA MISS DAR INTER COLLEGE WAONYESHWA MAGARI YA MWALIMU NYERERE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top