• HABARI MPYA

        Wednesday, June 27, 2012

        VIDIC APONA, KUANZA MAZOEZI WIKI HII


        06/2012 10:10
        Vidic
         


        BEKI Nemanja Vidic ataanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wiki hii, kabla ya wachezaji wenzake wa Manchester United kurejea kazini, wameandika Man Utd kwenye tovutui yao. Beki huyo wa kati wa kimataifa wa Serbia, hajagusa mpira tangu goti katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Basel, Desemba, mwaka jana. 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: VIDIC APONA, KUANZA MAZOEZI WIKI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry