MABAO mawili ya Mario Gomez yameipa Ujerumani ushindi wa 2-1 dhidi ya Uholanzi katika Euro 2012 usiku huu.