BAO la Lars Bender dakika 10 kuelekea mwisho wa mchezo, usiku huu limeihakikishia Ujerumani kufuzu Robo Fainali Euro 2012 kutoka Kundi B, baada ya kuilaza Denmark 2-1.


MSIMAMO WA KUNDI B

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No Movement1Germany339
No Movement2Portugal316
No Movement3Denmark3-13
No Movement4Netherlands3-30