// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TWIGA STARS YATOLEWA AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TWIGA STARS YATOLEWA AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, June 16, 2012

    TWIGA STARS YATOLEWA AFRIKA

    JUHUDI BILA MAFANIKIO; Mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars akisababisha kwenye lango la Ethiopia jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika, uliomalizika kwa wenyeji kufungwa 1-0. Kwa matokeo hayo, Twiga imetolewa kwa jumla ya mabao 3-1, kufuatia awali wiki mbili zilizopita kufungwa mabao 2-1 mjini Addis Ababa na hivyo Ethiopia inafuzu kwenye fainali hizo. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TWIGA STARS YATOLEWA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top