![]() |
Rais wa TFF, Leodegar Tenga wa pili kulia akiwa na Jellah Mtagwa kushoto kwake |
![]() |
Familia ya ndondi |
![]() |
Wadau wa ndondi |
![]() |
Tedi Mapunda kulia na bosi wake |
![]() |
Eiphraim Mafuru kulia |
![]() |
Maswahiba wa siku nyingi, Shaaban Mkongwe kulia akiwa Waziri Mahadhi |
![]() |
Beki wa Mtibwa Salum Swedi 'Kussi' |
![]() |
Kaburu kulia akikabidhi tuzo |
![]() |
Daud Salum 'Bruce Lee' kulia akikabidhi tuzo |
![]() |
Athumani Hamisi akikabidhi tuzo |
![]() |
Asha Baraka akikabidhi tuzo |
![]() |
Mafuru akikabidhi tuzo |
![]() |
Ridhiwani Kikwete kulia akiwa na Benny Kisaka kushoto, cheko la maana |
![]() |
Dioniz Malinzi kushoto akikabidhi tuzo |
![]() |
Kapombe akipokea tuzo ya Mwanamichezo Bora Chipukizi kutoka kwa Salim Amir |
![]() |
Mzee Matumla akimkabidhi Kaburu tuzo ya Emmanuel Okwi |
![]() |
Mwenyekiti wa RT, akimkabidhi tuzo Mwanahamisi Gaucho |
![]() |
Aggrey Morris kushoto akipokea tuzo ya Mwanasoka Bora wa mwaka |
![]() |
Ally Choky akikabidhi tuzo |
![]() |
Mafuru akipakia msosi |
![]() |
Kim Poulsen kulia akiwa na nani sijui |
![]() |
Jamal Rwambow kulia na Kaburu wakati wa maakuli |
![]() |
Serengeti Beer inapokolea, mambo huwa hivi... |
![]() |
Mzee El Maamry akimkabidhi tuzo George Tarimo |
![]() |
Mzee Mwinyi akimkabidhi tuzo Adolph Rishard |
![]() |
Mzee Mwinyi akimkabidhi tuzo Peter Tino |
![]() |
Mzee Mwinyi akikabidhi tuzo |
![]() |
Waziri Mahadhi akimpokelea tuzo marehemu baba yake, Omar Mahadhi |
![]() |
Kaburu akimsaidia Kapombe kupokea tuzo ya Mwanamichezo Bora wa mwaka 2011 |
![]() |
Juma Pinto akikabidhi tuzo |
![]() |
Zena Chande na swahiba zake |
![]() |
Shaffih Dauda kulia, Amour Hassan na Michael Maluwe |
![]() |
Tullo Chambo na bosi wake |
![]() |
Akina nani sijui hawa |
![]() |
BIN ZUBEIRY kulia na Shaffih Dauda |
MAJINA
YA WASHINDI
1: OLIMPIKI MAALUM-Zanzibar
Ahmada
Bakar:
2:OLIMPIKI
MAALUM-TANZANIA BARA
HERITH SULEIMAN
3: PARALIMPIKI: WANAUME
ZAHARANI
MWENEMTI
4:PARALIMPIKI: WANAWAKE
FAUDHIA
CHAFUMBWE
5: KIKAPU: WANAUME
GEORGE TARIMO:
6: KIKAPU WANAWAKE
EVODIA KAZINJA:-
7: NETIBOLI:
LILIAN
SYLIDION
8: GOFU WANAWAKE:
MADINA
IDDI
9: GOFU WANAUME:
Frank
Roman:
10: NGUMI ZA RIDHAA
SULEIMAN
SALUM KIDUNDA
12: WAOGELEAJI MWANAMKE
MAGDALENA
MOSHI
WAOGELEAJI MWANAUME
AMMAAR
GHADIYALI - MEN
13:JUDO...
AZZAN
HUSSEIN KHAMIS (ZANZIBAR)
14:JUDO
BARA: . MBAROUK SELEMANI
14:
WAVU WANAWAKE
THERESIA
ABWAO
15: WAVU WANAUME
MBWANA ALLY
16:
NGUMI ZA KULIPWA
Nasibu Ramadhan
17. TENISI:Wanaume
WAZIRI
SALUMU
18. TENISI WANAWAKE:
REHEMA ATHUMANI
20:
BAISKELI (Wanawake)
Sophia Hussein
-
21: BAISKELI WANAUME
Richard Laizer
22: WACHEZAJI WA TANZANIA
WANAOCHEZA NJE
Mbwana Samatta-
23: MCHEZAJI BORA
CHIPUKIZI
SHOMARI
KAPOMBE- (soka) SIMBA
24: MCHEZAJI WA NJE
ANAYECHEZA TANZANIA
Emmanuel
Okwi-Simba
25:
SOKA (WANAWAKE)
MWANAHAMISI OMARI
26: SOKA WANAUME
Aggrey Morris-Azam:
27:
RIADHA
WANAWAKE
Zakia
Mrisho:
28:
RIADHA WANAUME
Alphonce
Felix:
29:
MIKONO WANAUME
Kazad
Monga-Magereza Kiwira
Faraji
Shaibu Khamis-Nyuki Zbar
30:
MIKONO WANAWAKE
Zakia
Seif-Ngome Dar
31:
Kriketi WANAWAKE
Miss. Monika Pascal
32;
KRIKETI WANAUME
Mr. Kassimu Nassoro
33:
TUZO YA HESHIMA:
KIKOSI KILICHOFUZU FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA 1980
34:MWANAMICHEZO
BORA WA TANZANIA MWAKA 2011-
SHOMARI KAPOMBE
0 comments:
Post a Comment