// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TAIFA STARS WAKIJIFUA MAPUTO LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TAIFA STARS WAKIJIFUA MAPUTO LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, June 16, 2012

    TAIFA STARS WAKIJIFUA MAPUTO LEO

    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, John Bocco ‘Adebayor’ kushoto, Nurdin Bakari katikati na Shaaban Nditi kushoto wakiwa mazeozini mjini Maputo leo, kujiandaa na mechi dhidi ya wenyeji Msumbiji kesho kuwania tiketi ya kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani Afrika Kusini.

    Mwanamichezo Bora Tanzania, Shomary Kapombe akishuka kwenye basi baada ya kuwasili kwenye hoteli yao mjini Maputo, kulia ni Kocha Kim Poulsen.

    3. Kocha Kim Poulsen akiwaongoza wachezaji wake baada ya kushuka kwenye
    Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo jana.

    Kocha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen akiongoza mazeozi ya wachezaji wake mjini Maputo leo, kujiandaa na mechi dhidi ya wenyeji Msumbiji kesho kuwania tiketi ya kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani Afrika Kusini.

    Kocha Kim Poulsen akizungumza na balozi wa tanzania nchini msumbiji,
    Shamim Nyanduga

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS WAKIJIFUA MAPUTO LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top