- Wayne is hoping it will be all white on the night as Rooney returns to front line
- I can't do it on my own! Rooney to return but insists England are no one-man band
Wayne Rooney yuko tayari kumaliza miaka migumu katika michuano mikubwa kwa kuanza kukipiga katika Euro 2012. Rooney atarejea uwanjani usiku wa kesho wakati England ikimenyana na Ukraine katika mchezo wa mwisho wa Kundi C. Rooney alikuwa anatumikia adhabu ya mechi mbili sasa amemaliza.
0 comments:
Post a Comment